NOMINEES
Piga kura

Mwaka huu unaweza kupiga kura kwa SMS! SMS namba maalum iliyo pembeni ya jina la msanii umpendaye kwenda namba 0748 900966. Au unaweza kuchagua msanii mmoja katika kila kikundi cha wasanii waliopendekezwa, kwa kubonyeza alama pembeni ya jina lake. Kwa wanatotaka kutuma kupitia post, andika jina lako, anwani na utume fomu hii kwa njia ya posta au fikisha kwenye geti la ghala kuu la Tanzania Breweries.

Vilevile unaweza kuacha fomu yako kwenye visanduku vilivyo kwenye sehemu za kununulia tiketi kabla ya tarehe 20 Julai 2004. Ukipenda, tuma kura kwa barua pepe, mapendekezo@kilitime.com. Kamati iliyo huru itakusanya na kuhakikisha kura zote zinahesabiwa. Usisahau kununua tiketi yako! Maelezo zaidi yapo chini ya kurasa.

Huduma za ujumbe mfupi zinatolewa na Celtel Tanzania.

 :: Mwimbaji Bora wa Kike
Rehema Chalamila (Ray C) 011
Judith Wambura (Lady Jay Dee) 012
Patricia Hillary 013
Khadija Mnoga 014
Sabah Muchacho 015
 :: Mwimbaji Bora wa Kiume
Ferooz 021
Ali choki 022
Banana Zorro 023
Hezrom Rudala (Bob) 024
Muumin Mwinjuma 025
 :: Albamu Bora ya Taarab
Unalo Lilokukaa Na Roho-Z'bar Stars

031

Debe Tupu - East African Melody 032
Mwanamke Mambo - ToT 033
Napenda Salama - Patricia Hillary 034
     
 :: Wimbo Bora wa Taarab
Nitadumu Naye - Zanzibar Stars

041

Debe Tupu - East African Melody 042
Nimemridhia - ToT 043
Ni Mdodo - Patricia Hillary 044
Kipendacho Roho - Zanzibar Stars 045
 :: Wimbo Bora wa Mwaka
Fagilia - Mr Nice 051
Seya - Papii Kocha 052
Wanaume Kama Mabinti - Jay Dee 053
Kipendacho Roho - Zanzibar Stars 054
Mama Yangu - Banana Zorro 055
 :: Wimbo Bora wa Kiswahili (Bendi)
Mengi Yamenikuta - African Revolution

061

Piga Ua - Ottu Jazz Band 062
Aminata - African Stars Band 063
Nani Kaiona Kesho - ToT 064
Ndugu Lawama - Double ‘M’ Sound 065
     
 :: Albamu Bora ya Kiswahili (Bendi)
Ukubwa Jiwe - African Stars Band 071
Zawadi Ya Watanzania - Double ‘M’ Sound 072
Piga Ua Talaka Utatoa - Ottu Jazz 073
Sarafina - ToT 074
Huruma - DDC Mlimani Park 075
 :: Albamu Bora ya R'n B
Binti - Lady Jay Dee 081
Dadaz Forever - Unique Sisters 082
Banana - Banana Zorro 083
Mwana Mnyonge - Q-Chief 084
Mapenzi Yangu - Ray C 085
 
 :: Wimbo Bora wa R'n B
Nimekuchagua Wewe - Hezron Rudala 091
Usiusemee Moyo - Lady Jay Dee 092
Mama Yangu - Banana Zorro 093
Raisa - T.I.D 094
Nikupe - Mandojo & Domo Kaya 095
 
     
 :: Wimbo Bora Asili ya Kitanzania
Omwarabu - Maua 101
Likambuke - Caz T 102
Ndolela Chaseleleka - Maringo Group 103
Munda - Kiyowodeso Cultural Troupe 104
Nsenene - Revina Kasabila 105
 :: Albamu Bora Asili ya kitanzania
Chenkula - Maua 111
Ndolela Chaseleleka - Maringo Group 112
Mbabade - Akwitanda Cultural Troupe 113
Munda - Kiyowodeso Cultural Troupe 114
Nsenene - Revina Kasabila 115
 :: Wimbo Bora wa Hip Hop
Kikao Cha Dharura - Prof. J 121
Mtazamo - Afande Sele 122
Bush Party - Solid Ground Family 123
Alikufa Kwa Ngoma - Mwana Falsafa 124
Bosi - Ferooz 125
     
 :: Albamu Bora ya Hip Hop
Amri Kumi Za Mungu - Dudu Baya 131
Mapinduzi Halisi - Prof. J 132
Ugali - Juma Nature 133
Handsome - Dully Sykes 134
Nje Ndani - Gangwe Mob 135
 :: Albamu Bora ya Reggae
Inno - Innocent Nganyagwa 141
Safari Inaendelea - Jikho Man 142
 :: Wimbo Bora wa Reggae
Hakuna - Tanzania Reggae Family 151
Mpenzi - Jikho Man 152
I Need Your Love - Inno/Fredy Jeshi 153
Sumu Ya Udhalimu - Innocent Nganyagwa 154
Vita Vya Panzi - Innocent Nganyagwa 155
     
 :: Wimbo Bora wa Dini
Ni Nyakati Za Mwisho - Bahati Bukuku 161
Mungu Yulee - Kwaya Ya Mt. Kizito Parokia Ya Mwenge 162
Twaokolewa Kwa Neema - Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama 163
Ingoje Ahadi - Beatrice Muhone 164
Kila Goti Litapigwa - Utemini Singida The Gospel Sound Singers 165
 :: Albamu Bora ya Nje
Nimefika - E-Sir 171
Udagwanjalo - Mafikizolo 172
Bei Kali - Joseph Chameleon 173
Ujumbe - Samba Mapangala 174
Koyimbi Ko - Werason 175
 :: Mtunzi Bora wa muziki
Ferooz 181
Mzee Yusuf 182
Tx Moshi William 183
Ally Choki 184
(Lady Jay Dee) Judith Wambura 185
     
 :: Mtayarishaji Bora wa Nyimbo
Mika Mwamba (F.M. Studio) 191
Kameta (Kameta Studio) 192
P. Funk (Bongo Records) 193
Bizman (Sound Crafters) 194
Bon-Luv (Mawingu Studio) 195
 :: Mwandikaji bora wa nyimbo
Mahmoud El-Alawy 201
Lady Jay Dee 202
Tx Moshi William 203
Ally Choki 204
Muumin Mwinjuma 205
 :: Mtayarishaji bora wa video
2 Eyes Production 211
Tripod Media 212
Royal Production 213
Benchmark Production 214
Mwananchi Production 215
     
 :: Mwanamuziki aliyechangia
mafanikio makubwa ya muda mrefu
  Atatangazwa Usiku Wa Tuzo  
 :: Mwanamuziki Mahiri Wa Kanda
(Kizazi Kipya)
Jita Man (Niache Niseme) - Mwanza 231
Rama B. (Dr. Vipi) -Arusha 232
Big T - Mbeya 233
 
 :: Mwanamuziki Mahiri Wa Kanda
(Muziki Asili)
African Traditional Dance (Mpweke) - Arusha 241
Hangano Cultural Troupe (Bugobogobo 242
Kilimo Kilipoanza - Mwanza 243
Kihumbe Cultural Troupe - Mbeya 244
     
       
Privacy Statement
Designed and powered by INFOCOM TECHNOLOGIES LTD. Site Consultants: TOUCHLINE MARKETING LTD.