WINNERS
Picture Gallery Send us feedback
Washindi 2005


Sherehe za kuwatunuku washindi wa tuzo za Kilimanjaro Premium Lager Tanzania Music Awards zilifanyika siku ya Jumatano tarehe 05 Julai, 2005 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kwa kutunuku tuzo hizo na burudani mbalimbali.

Yafuatayo ndiyo majina ya makundi/wasanii walioibuka kidedea usiku huo:

AINA YA TUZO JINA LA MSHINDI
Hall of fame Hayati Hukwe Zawose
Wimbo wa Mwaka Ferouz (Starehe)
Mwimbajie Bora wa Kiume Banza Stone (African Stars)
Mwimbaji Bora wa Kike Rose Mhando
Mwanamuziki anayechipukia MB Dog (Latifa)
Mwandikaji bora wa Muziki Rogati Hega (Mchinga Sound)
Mtunzi bora wa Muziki Benard Mukasa
Mtayarishaji bora wa Muziki P. Funk
Mtayarishaji bora wa Video 2 Eyez
Mwanamuziki bora wa Kanda (Nyimbo za Asili) Kihumbe Asili (Mbeya)
Mwanamuziki bora wa kanda (Bongo Fleva) Space Flava (Arusha)
Albamu bora ya Afrika Mashariki Jamila (Chameleon - Uganda)
Wimbo bora wa Dini Rose Mhando
Wimbo bora wa Asili Renee Lamira (Ngoma za Kwetu)
Wimbo bora wa Kisahili (bendi) Kaza Moyo (OTTU)
Wimbo bora wa Taarab Utalijua Jiji (East African Melody
Wimbo bora wa Zouk Riziki (K-Basil)
Wimbo bora wa R&B Mapenzi gani (Banana Zorro)
Wimbo bora wa Reggae / Ragga Coming to my Life (Fred na Inno)
Wimbo bora wa Hip Hop Nymbani ni Nyumbani (Wanaume Family)
Albamu bora ya Asili Omwana Omulesi (Mringo Group)
Albamu bora ya Kiswahili (Bendi) Mtu Pesa (African Stars)
Albamu bora ya Taarab Utakufa nacho (Zanzibar Stars)
Albamu bora ya Hip-Hop A.K.A Mimi (Mangwea)

 

 

 
Designed and powered by INFOCOM TECHNOLOGIES LTD.