IPS Inter Press Service - Independent News
   Inter Press Service News Agency
Monday, December 17, 2007   02:58 GMT    
  Subscribe !
 

Enter your email and receive TerraViva Africa, our free weekly journal

   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   SVENSKA
   ITALIANO
   DEUTSCH
   SWAHILI
   NEDERLANDS
   ARABIC
   TÜRKÇE
   SUOMI
   PORTUGUÊS
   JAPANESE
Readers Opinions
AFYA-AFRIKA : Kampeni za TB na Ukimwi Zatakiwa kwenda Pamoja
Na Miriam Mannak
CAPE TOWN, Nov 10 (IPS) - Kifua Kikuu (TB) barani Afrika hakiwezi kutokomezwa kama mashirika ya TB na VVU/UKIMWI yanakataa kuondoa tofauti zao, watalaam wa afya walisema Ijumaa wakati wa mkutano wa 38 wa Muungano wa Dunia wa Afya ya Mapafu, unaonedelea mjini Cape Town, Afrika Kusini.

NISHATI : Tafiti za Nishati ya Mafuta Yaendelea
Na Stephen Leahy
BROOKLIN, Canada, Nov 9 (IPS) - Kuongezeka kwa matumizi ya nishati ya mafuta kutashika kasi zaidi katika miongo ijayo, na kufanya bei za mafuta kuongezeka zaidi na hivyo kuongeza janga la mabadiliko ya hali ya hewa katika miongo ijayo, wataalam wa nishati wanasema.

AFYA-AFRIKA : Kiasi cha TB Sugu kwa Tiba Hakifahamiki
Na Miriam Mannak
CAPE TOWN, Novemba 8 (IPS) - Hadi sasa kinachojulikana juu ya kiasi na maambukizi ya Kifua Kikuu sugu zaidi kwa tiba (XDR-TB) katika Afrika kusini mwa jangwa la Sahara inaweza tu kuwa sehemu ndogo mno ya pande la barafu, alisema mtaalam wa TB Alhamisi wakati wa Mkutano wa 38 wa Muungano wa Afya ya Mapafu Ulimwenguni, katika mji wa mwambao mwa Afrika Kusini wa Cape Town.

ULAYA : Almasi kutoka Ivory Coast Zahitaji Kusafishwa
Na David Cronin
BRUSSELS, Novemba 8 (IPS) - Mpango mpya wa kuzuia almasi kutokufadhili vita nchini Ivory Coast umekubaliwa katika mkutano wa kimataifa mjini Brussels.

BIASHARA-AFRIKA MASHARIKI : Fujo Katika Usiku wa Tarehe ya Mwisho ya EPA
Uchambuzi na Aileen Kwa
NAIROBI, Novemba 8 (IPS) - Katika usiku wa kuamkia tarehe ya mwisho ya kukamilisha mazungumzo ya ushirikiano wa kiuchumi (EPA), kutokuelewana kunatawala.

HAKI- IVORY COAST : Kupambana na FGM Kutoka Misikitini na Makanisani
Na Fulgence Zamblé
ABIDJAN, Nov 5 (IPS) - Katika baadhi ya maeneo ya Afrika, tohara kwa wanawake (FGM) imehusishwa na dini, huku jumuiya za Waislam kwa makosa zikiamini kuwa tendo hilo ni matakwa ya dini yao. Lakini nchini Ivory Coast, dini pia inatumiwa kupambana na FGM.

BIASHARA -KENYA : Kutumia Mahakama Kusimamisha EPA kutokana na ''Ukiukwaji wa Haki za Binadamu''
Na Rosalia Omungo
NAIROBI, Nov 3 (IPS) - Changamoto isiyotarajiwa imeelekezwa katika makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi (EPA) yanayojadiliwa sasa kati ya Umoja wa Ulaya na mashariki na kusini mwa Afrika. Mashirika mawili ya kuzengea yamefungua mashitaka nchini Kenya kusimamisha kutiwa saini kwa EPA.

AFYA : VVU na TB – Mchanganyiko Mbaya Kuwahi Kutokea
Na Miriam Mannak
CAPE TOWN, Novemba 2 (IPS) - Maamubukizi ya Kifua Kikuu (TB) miongoni mwa watu wanaoishi na VVU katika Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara yamefiia katika kiwango cha mgogoro na yataendelea zaidi kama hakutakuwa na hatua zinazofaa, inasema ripoti mpya ya Chama cha Kufanya Utafiti wa Pamoja juu ya VVU -- 'Maambukizi ya VVU-TB: Kufikia Changamoto'.

MAZINGIRA : "Maporomoko Mazuri Kuliko Yote" Katika Afrika ya Kati Yako Hatarini
Na Nadine Stella
LIBREVILLE, Nov 1 (IPS) - Yakielezewa kama maporomoko ya maji mazuri kuliko yote katika Afrika ya kati, Maporomoko ya maji ya Kongou nchini Gabon pia yapo katikati mwa utata wa kimazingira ambao baadhi wanaamini una madhara makubwa kwa ulinzi wa mazingira nchini humo.

BIASHARA -AFRIKA : EPAs – Zinahusu Maendeleo au Unyonyaji?
Uchambuzi na Sue Scott
LONDON, Novemba 1 (IPS) - Uhusiano wa kibiashara kati ya Ulaya na mataifa ya Afrika wa baba na mtoto unatishia kumalizika katika hali kama ilivyo ya kuanguka kwa uhusiano wa kifamilia kama watashindwa kutiliana saini ya makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi (EPAs) ifikapo tarehe ya mwisho mwishoni mwa mwaka huu.

 

 

Next >>

 
 Latest News from Africa
News in RSS
EUROPE: French Position Delays Troops to Chad
TRANSPORT-SOUTH AFRICA: Culture Puts the Brakes on Women's Mobility
Q&A;: "Slash the Salaries of the President, Ministers and Members of Parliament"
TRADE-AFRICA: EU is Using '&#39Bully Tactics'' to Push Through EPAs
CLIMATE CHANGE: At Least Something For Africa To Take Home
TRADE-GHANA: ‘‘How Would Mandelson Know What’s Good For Us?’’
COTE D'IVOIRE: A Call for Solidarity in Resolving Fate of Missing Reporter
THEATRE-US: Play Shows West's Moral Failures in Rwanda
FINANCE: US Senate Targets Asian, European Firms in Sudan
ZIMBABWE: Investment Dwindles in the Face of A Defiant Government
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
DEVELOPPEMENT-TANZANIE : S'attaquer à la corruption à travers la chanson
DEVELOPPEMENT-BENIN : La presse et la justice entraveraient la lutte contre la corruption
CHANGEMENT CLIMATIQUE : Qui devrait payer la note de carbone?
COMMERCE-ZIMBABWE : Les APE ''introduisent d'anciennes questions par des moyens détournés''
POLITIQUE-SENEGAL : La parité dans la constitution
A lire également >>