18 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1216 - Uchaguzi wa Papa Honorius III
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1552 - Kaisari Rudolf II wa Ujerumani
- 1853 - Hendrik Antoon Lorentz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902)
- 1918 - Nelson Mandela (rais mstaafu wa Afrika Kusini, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1993)
- 1937 - Roald Hoffmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 1948 - Hartmut Michel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 1982 - Nestroy Kizito, mchezaji mpira kutoka Uganda
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1950 - Carl Van Doren, mwandishi kutoka Marekani
- 1968 - Corneille Heymans (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1938)