Berlin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Berlin

Bendera

Nembo
Berlin is located in Ujerumani
Berlin
Berlin
Mahali pa mji wa Berlin katika Ujerumani
Anwani ya kijiografia: 52°30′2″N 13°23′56″E / 52.50056°N 13.39889°E / 52.50056; 13.39889
Nchi Ujerumani
Jimbo Berlin
Idadi ya wakazi
 - 3,440,400
Tovuti: www.berlin.de
Coat of Arms of Berlin

Berlin ni mji mkuu, pia mji mkubwa na jimbo la kujitawala la Ujerumani ikiwa na wakazi 3.8 millioni. Berlin iko mashariki ya Ujerumani, palipo mto unaoitwa Spree.

Berlin ilianza kukua kama mji mkuu wa Prussia. Ilikuwa mji mkuu wa Ujerumani tangu kuundwa kwa Dola la Ujerumani mwaka 1871. Kati ya 1949 na 1991 ilikuwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani. Tangu maungano ya Ujerumani Berlin imekuwa mji mkuu wa Ujerumani yote.

Kati ya 1961 na 1989 mji ilitengwa kwa ukuta kati ya sehemu za mashariki na magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Flag Germany template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Berlin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ujerumani
Flag of Germany.svg
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)