Slovenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Republika Slovenija
Jamhuri ya Slovenia
Bendera ya Slovenia Nembo ya Slovenia
Bendera Nembo
Wito la taifa: {{{national_motto}}}
Wimbo wa taifa: Zdravljica
Lokeshen ya Slovenia
Mji mkuu Lyublyana
46°03′ N 14°30′ E
Mji mkubwa nchini Lyublyana
Lugha rasmi Kislovenia, Kiitalia1, Kihungaria1
Serikali Jamhuri
Danilo Türk
Borut Pahor
Uhuru
imetangazwa
25. Juni 1991
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
20,273 km² (ya 154)
0.6%
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2002 sensa
 - Msongamano wa watu
 
1,967,000 (ya 145)
1,964,036
99/km² (ya 100)
Fedha Tolar2 (SIT)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .si
Kodi ya simu +386

-

1 Katika miji penye watu wengi wa utamaduni wa Kiitalia au Kihungaria.
2 Itabadilishwa na Euro (EUR) tarehe 1.1.2007.



Slovenia ni nchi ndogo ya Ulaya ya Kati kusini ya milima ya Alpi. Imepakana na Italia, ghuba ya Adria ya Mediteranea, Kroatia, Hungaria na Austria. Mji mkuu pia mji mkubwa ni Lyublyana (kislovenia: Ljubljana).

Watu wake ni Waslovenia wenye lugha ya Kislavi ya kusini. Waslavi walihamia Slovenia ya leo katika karne ya 6 BK. Tangu zamani waliishi chini ya utawala wa madola mbalimbali kama vile Dola la Roma, Austria na Yugoslavia hadi kupata uhuru wa kisiasa mara ya kwanza kabisa mwaka 1991 baada ya mwisho wa Shirikisho la Yugoslavia.

Kati ya nchi zote zilizotokana na Yugoslavia ya zamani Slovenia ni nchi yenye uchumi imara.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Slovenia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.