Bahari ya Hindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bahari ya Hindi.png

Bahari ya Hindi ni bahari kubwa ya tatu duniani ikiwa imechukua asilimia 20 ya uso wa dunia. Upande wa kaskazini imepakana na Asia ya Kusini; magharibi imepakana na Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Shamu na Afrika; mashariki imepakana na Ghuba ya Malay, visiwa vya Sunda (Indonesia), na Australia; na kusini imepakana na Bahari ya Kusini.

Bahari hii ni njia muhimu ya usafirishaji na usafiri kwa meli kati ya Asia na Afrika.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Hindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.