Bermuda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Bermuda
Bendera ya Bermuda Coat of arms of Bermuda.svg
(Bendera ya Bermuda) (Nembo la Bermuda)
Wito: Quo Fata Ferunt
(Kilatini: Pote heri inapotupeleka)
LocationBermuda.png
Lugha rasmi Kiingereza
Hali ya kisiasa Eneo la ng'ambo la Uingereza
Mji mkuu Hamilton (Bermuda)
Gavana Sir John Vereker
Waziri Mkuu Alex Scott
Eneo 58.8 km²
Wakazi


-Jumla (2003)
 - Msongamano


64,482
1 096/km²
Pesa Bermuda dollar sawa na US dollar
Kanda la saa UTC -4
Wimbo wa taifa God Save the Queen
Interneti TLD .bm
Simu 1-441

Bermuda ni funguvisiwa ya visiwa 130 katika Atlantiki mbele ya pwani la Marekani ambayo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Umbali na Amerika bara ni 1,000 km.

Visiwa vilikuwa bila watu vilipotembelewa mara ya kwanza na Wahispania. Tangu 1615 vilitawaliwa na Uingereza.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bermuda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: