Omani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
سلطنة عُمان
Sulṭanat ʿUmān

Usultani wa Omani
Bendera ya Omani [[Picha:|110px|Nembo ya Omani]]
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: (hakuna)
Wimbo wa taifa: Nashid as-Salaam as-Sultani
Lokeshen ya Omani
Mji mkuu Maskat
23°61′ N 58°54′ E
Mji mkubwa nchini Muskat
Lugha rasmi Kiarabu
Serikali Ufalme
Qaboos bin Said Al Said
{{{sovereignty_type}}}
Waosmani kufukuzwa
1741
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
309,500 km² (ya 70)
(kidogo sana)
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
2,567,0001 (ya 140)
8.3/km² (ya 211)
Fedha Rial (OMR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+4)
(UTC+4)
Intaneti TLD .om
Kodi ya simu +968

-

1Ndani ya idadi ya wakazi kuna watu 577,293 wasio raia



Ramani ya Omani

Usultani wa Omani (Kiarabu:سلطنة عُمان Saltanat ˤUmān) ni nchi ya Bara Arabu katika Asika ya Magharibi. Imepakana na Maungano ya Falme za Kiarabu, Saudia na Yemen, halafu Bahari Hindi na Ghuba ya Omani.

Utawala wa nchi hufuata muundo wa kifalme usiobanwa na masharti ya katiba. Mji Mkuu ni Maskat (Omani).

Historia[hariri | hariri chanzo]

Omani ilikuwa kituo muhimu cha biashara kwenye Bahari Hindi na Ghuba ya Uajemi tangu milenia mbili KK. Tangu kuja kwa Uislamu Omani ilikuwa ama chini ya Uajemi au chini ya khalifa wa Baghdad na baadaye Dola la Seljuki.

Kati ya 1507 hadi 1650 mji wa Maskat na pwani la Omani lilitawaliwa na Ureno. Makabila ya bara yaliunganika chini ya maimamu wa dhehebu la kiislamu la Waibadiya na Imam Nasir ibn Murshid († 1649) alifaulu kupunguza neo la Wareno. Mfuasi wake Sultan ibn Saif aliwafukuzwa Wareno kabisa na kushambulia vituo vyao kwenye pwani la Afrika ya Mashariki.

Masultani wa Omani walitawala pwani la Afrika ya Mashariki katika karne ya 19. Mwaka 1830 Sultani Sayyid Said alihamisha mji mkuu wake kutoka Omani kuja mji wa Zanzibar (Unguja). Baada ya kifo chake mwaka 1856 dola liligawiwa kuwa nchi mbili:

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.


BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Omani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.