Hong Kong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
中華人民共和國香港特別行政區
Hong Kong 
Eneo lenye utawala wa pekee la Jamhuri ya Watu wa China
Bendera ya Hong Kong Nembo ya Hong Kong
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa:
Wimbo wa taifa: sawa na China
Lokeshen ya Hong Kong
Mji mkuu --
Kihistoria makao ya serikali ilikuwa Victoria City.
22°17′ N 114°08′ E
sehemu penye wakazi wengi wilaya ya Sha Tin
Lugha rasmi · Kichina (lahaja ya Kanton)
Kiingereza
Serikali
Donald Tsang
Ilianzishwa
Kutwaliwa na Uingereza
25 Januari 1841
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,104 km² (--)
4.6
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
7,041,000 (ya 97)
6,708,389
6,294.65/km² (ya 3)
Fedha Hong Kong dollar (HKD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
HKT (UTC+8)
{{{time_zone_DST}}} (UTC{{{utc_offset_DST}}})
Intaneti TLD .hk
Kodi ya simu +852 (01 from Macau)

-


Kitovu cha Hong Kong wakati wa usiku

Hong Kong (Kichina: 香港) ni eneo lenye utawala wa pekee la Jamhuri ya Watu wa China.

Iko upande wa mashariki wa delta ya Mto Lulu (Pearl River) unapoishia katika Bahari ya Kusini ya China. Inatazama bahari ya Uchina upande wa kusini ikipakana na jimbo la Guangdong upande wa kaskazini.

Hongkong ilikuwa koloni ya Uingereza kwenye pwani la China likarudishwa chini ya utawala wa Kichina mwaka 1997. Inaendelea kutawaliwa na sheria zake za pekee chini ya mamlaka kuu ya serikali ya Beijing.

Siku hizi ni eneo tajiri kabisa katika Uchina wote.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.