Brunei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
بروني دارالسلام
Negara Brunei Darussalam
Bendera ya Brunei Daressalam Nembo ya Brunei Daressalam
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "Daima katika utumishi kwa msaada wa Mungu"  (translation)
Wimbo wa taifa: Allah Peliharakan Sultan
"Mungu ambariki Sultani"
Lokeshen ya Brunei Daressalam
Mji mkuu Bandar Seri Begawan
4°55′ N 114°55′ E
Mji mkubwa nchini Bandar Seri Begawan
Lugha rasmi Kimalay na Kiingereza
Serikali Ufalme
Hassanal Bolkiah
Uhuru kutoka Uingereza
Mwisho wa hali ya nchi lindwa

1 Januari 1984
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
5,765 km² (ya 170)
8.6
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
374,000 (ya 174)
332,844
65/km² (ya 127)
Fedha Brunei ringgit (BND)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+8)
(UTC)
Intaneti TLD .bn
Kodi ya simu +6731

-

1 Also 080 from Malaysia.



Brunei ( برني دار السلام ) ni usultani mdogo na nchi ya kujitegemea kwenye kisiwa cha Borneo ya Asia ya Kusini-Magharibi. Imepakana na majimbo ya Sarawak na Sabah ya Malaysia. Sehemu kubwa ya kisiwa hicho inatawaliwa na Indonesia. Jina rasmi ni "Negara Brunei Darussalaam" yaani Brunei Nyumba ya Amani.

Mji mkuu ni Bandar Seri Begawan.

Mtawala wa nchi ni sultani Hassan al-Bolkiah. Anasemekana ni kati ya watu tajiri zaidi duniani kutokana na mapato ya mafuta ya petroli.

Dini rasmi ni Uislamu, lakini wakazi wengine wanafuata dini za Ubuddha (13%), Ukristo (10%) na dini za jadi (2%).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.


BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Brunei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.