Ulaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

BlankMap-Europe.png


LocationEurope.png
Europe satellite orthographic.jpg
Ulaya
Ulaya
Ulaya 1000

Ulaya ni bara: eneo la Ulaya ni 10,600,000 km² na wakazi ni 700 milioni. Katika orodha inayofuata kanda zinatajwa katika utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN categorisations/map).

Utawala

Baada ya vita kuu mbili nchi mbalimbali za Ulaya zilianza kushirikiana kwa njia mbalimbali katika karne ya 20 :

Kanda za Ulaya

Ulaya ya Kati

Mpangilio ufuatao unafuata ratiba ya Umoja wa Mataifa. Lakini utaratibu huu haukubaliki ndani ya Ulaya kwa nchi za Ulaya ya Kati. Wajerumani, Waaustria, Waswisi, Wacheki, Waslovakia na Wapoland hukubaliana ya kwamba wenyewe si Ulaya ya Magharibi wala ya Mashariki lakini Ulaya ya Kati. Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano swali la Hungaria au Latvia.

Orodha ya nchi na maeneo

Jina la nchi au eneo,
bendera
Eneo
(km²)
Wakazi
(mnamo Julai 2002 takriban)
Wakazi kwa km² Mji Mkuu

Ulaya ya Mashariki:

Flag of Belarus.svg
Belarus
207,600 10,335,382 49.8 Minsk
Flag of Bulgaria.svg
Bulgaria
110,910 7,621,337 68.7 Sofia
Flag of the Czech Republic.svg
Ucheki
78,866 10,256,760 130.1 Praha
Flag of Hungary.svg
Hungaria
93,030 10,075,034 108.3 Budapest
Flag of Moldova.svg
Moldova
33,843 4,434,547 131.0 Kishineu
Flag of Poland.svg
Poland
312,685 38,625,478 123.5 Warshawa
Flag of Romania.svg
Romania
238,391 21,698,181 91.0 Bukarest
Flag of Russia.svg
Urusi (2)
3,960,000 106,037,143 26.8 Moscow
Flag of Slovakia.svg
Slovakia
48,845 5,422,366 111.0 Bratislava
Flag of Ukraine.svg
Ukraine
603,700 48,396,470 80.2 Kiev

Ulaya ya Kaskazini:

Flag of Denmark.svg
Denmark
43,094 5,368,854 124.6 Kopenhagen
Flag of Estonia.svg
Estonia
45,226 1,415,681 31.3 Tallinn
Flag of the Faroe Islands.svg
Visiwa vya Faroe (Denmark)
1,399 46,011 32.9 Tórshavn
Flag of Finland.svg
Finland
337,030 5,183,545 15.4 Helsinki
Flag of Guernsey.svg
Guernsey (3)
78 64,587 828.0 St Peter Port
Flag of Iceland.svg
Iceland
103,000 279,384 2.7 Reykjavík
Flag of Ireland.svg
Eire (Ireland )
70,280 3,883,159 55.3 Dublin
Flag of the Isle of Mann.svg
Kisiwa cha Man (3)
572 73,873 129.1 Douglas
Flag of Jersey.svg
Jersey (3)
116 89,775 773.9 Saint Helier
Flag of Latvia.svg
Latvia
64,589 2,366,515 36.6 Riga
Flag of Lithuania.svg
Lituanya
65,200 3,601,138 55.2 Vilnius
Flag of Norway.svg
Norwei
324,220 4,525,116 14.0 Oslo
Flag of Norway.svg
Visiwa vya Svalbard and Jan
Mayen
(Norway)
62,049 2,868 0.046 Longyearbyen
Flag of Sweden.svg
Uswidi
449,964 8,876,744 19.7 Stockholm
Flag of the United Kingdom.svg
Uingereza (Ufalme wa Maungano)
244,820 59,778,002 244.2 London

Ulaya ya Kusini:

Flag of Albania.svg
Albania
28,748 3,544,841 123.3 Tirana
Flag of Andorra.svg
Andorra
468 68,403 146.2 Andorra la Vella
Flag of Bosnia and Herzegovina.svg
Bosnia na Herzegovina
51,129 3,964,388 77.5 Sarayevo
Flag of Croatia.svg
Kroatia
56,542 4,390,751 77.7 Zagreb
Flag of Gibraltar.svg
Gibraltar (Uingereza)
5.9 27,714 4,697.3 Gibraltar
Flag of Greece.svg
Ugiriki
131,940 10,645,343 80.7 Athens
Flag of Italy.svg
Italia
301,230 57,715,625 191.6 Roma
Flag of Macedonia.svg
Masedonia
25,333 2,054,800 81.1 Skopje
Flag of Malta.svg
Malta
316 397,499 1,257.9 Valletta
Flag of Montenegro.svg
Montenegro
316 397,499 1,257.9 Podgorica
Flag of Portugal.svg
Ureno (6)
91,568 10,084,245 110.1 Lisbon
Flag of San Marino.svg
San Marino
61 27,730 454.6 San Marino
Flag of Serbia.svg
Serbia
102,173 10,280,000 100.6 Belgrad
Flag of Slovenia.svg
Slovenia
20,273 1,932,917 95.3 Lyublyana
Flag of Spain.svg
Hispania (7)
498,506 40,077,100 80.4 Madrid
Flag of the Vatican City.svg
Mji wa Vatikani
0.44 900 2,045.5 Mji wa Vatikani

Ulaya ya Magharibi:

Flag of Austria.svg
Austria
83,858 8,169,929 97.4 Vienna
Flag of Belgium.svg
Ubelgiji
30,510 10,274,595 336.8 Brussels
Flag of France.svg
Ufaransa (8)
547,030 59,765,983 109.3 Paris
Flag of Germany.svg
Ujerumani (Udachi)
357,021 83,251,851 233.2 Berlin
Flag of Liechtenstein.svg
Liechtenstein
160 32,842 205.3 Vaduz
Flag of Luxembourg.svg
Luxemburg
2,586 448,569 173.5 Luxemburg
Flag of Monaco.svg
Monako
1.95 31,987 16,403.6 Monako
Flag of the Netherlands.svg
Uholanzi (9)
41,526 16,318,199 393.0 Amsterdam, Den Haag
Flag of Switzerland.svg
Uswisi
41,290 7,301,994 176.8 Bern

Asia ya Magharibi:

Flag of Armenia.svg
Armenia (10)
29,800 Yerevan
Flag of Azerbaijan.svg
Azerbaijan (11)
39,730 4,198,491 105.7 Baku
Flag of Cyprus.svg
Kupro (12)
5,995 780,133 130.1 Nikosia (Lefkosa)
Flag of Georgia.svg
Georgia (13)}
49,240 2,447,176 49.7 Tbilisi
Flag of Turkey.svg
Uturuki (14)
24,378 11,044,932 453.1 Ankara

Asia ya Kati:

Flag of Kazakhstan.svg
Kazakhstan (15)
370,373 1,285,174 3.4 Astana
Total 10,431,299 709,022,061 68.0

Notes:
1. Kanda zinazotajwa (Ulaya ya Kusini – magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa UN categorisations/map. Nchi kadhaa zinazotajwa hapo chini zinaweza kuhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya na pia bara nyingine (Asia, Africa, au Oceania). Hii inategemea na namna ya kugawa kontinenti; pia wakazi wenyewe wanaweza kujielewa tofauti na majirani yao.

2. Urusi ni nchi ya kontinenti mbili za Ulaya ya Mashariki na Asia; namba za wakazi na za eneo zimetasjwa kwa ajili ya sehemu ya Kiulaya pekee.

3–5. Guernsey, Kisiwa cha Man, and Jersey ni maeneo ya kujitegema chini ya Taji la Ufalme wa Uingereza.

6. Namba za Ureno hazijumlishi Visiwa vya Madeira, ambazo ni sehemu ya Ureno magharibi ya Marokko katika Afrika.

7. Namba za Hispania hazijumlishi Visiwa vya Kanari magharibi ya Marokko katika Afrika, wa maeneo ya Ceuta na Melilla ambayo ni sehemu za Hispania kwenye pwani la Marokko, Afrika ya Kaskazini.

8. Namba za Ufaransa hazijumlishi maeneo yake yaliyopo Amerika ya Kati au Kusini, Bahari Hindi au Oceania.

9. Uholanzi: Idadi ya wakazi ni ya 2004; Amsterdam ni Mji Mkuu lakini Den Haag ni makao makuuy a serikali.

10. Armenia huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki

11. Azerbaijan huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.

12. Kupro huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Kusini; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu zisozo chini ya Dola ya Kituruki ya Cyprus.

13. Georgia huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.

14. Uturuki ni nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Kusini; namba zinazotajwa zinahusiana na sehemu ndogo ya Magharibi pakee iliyomo Ulaya hasa jimbo lote la Istanbul.

15. Kazakhstan huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.

Tazama pia