8 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 68 - Bunge la Roma linakubali na mfalme mkuu Galba.
- 218 - Pigano la Elagabalus, Kaisari wa Dola la Roma, kumshinda Kaisari Macrinus
- 536 - Silverius Mtakatifu amechaguliwa kuwa Papa.
- 1624 - Mtetemeko wa ardhi unatokea katika nchi ya Peru.
- 1866 - Bunge la Kanada linafanyika mara ya kwanza katika mji wa Ottawa.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1810 - Robert Schumann, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1867 - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 1903 - Marguerite Yourcenar, mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji
- 1916 - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 1936 - Kenneth Wilson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982)
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 632 - Kifo cha Muhammad nabii wa Uislamu
- 1845 - Andrew Jackson, Rais wa Marekani (1829-37)
- 1997 - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 1998 - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria (1993-1998)
- 2009 - Omar Bongo, Rais wa Gabon (1967-2009)