Uruguay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
República Oriental del Uruguay
Jamhuri ya Mashariki ya Uruguay
Bendera ya Uruguay Nembo ya Uruguay
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Libertad o Muerte (Uhuru au Mauti)
Wimbo wa taifa: Orientales la Patria o la Tumba!
Lokeshen ya Uruguay
Mji mkuu Montevideo
34°53′ S 56°10′ W
Mji mkubwa nchini Montevideo
Lugha rasmi Kihispania
Serikali Jamhuri
Tabaré Vázquez
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa

25 Agosti 1825
28 Agosti 1828
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
176,215 km² (ya 91)
1.5
Idadi ya watu
 - Julai 2013 kadirio
 - 2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
3,324,460 (ya 133)
3,286,314
218.87/km² (ya 198 1)
Fedha Peso ya Uruguay (UYU)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-3)
(UTC-2)
Intaneti TLD .uy
Kodi ya simu +598

-


Ramani ya Uruguay.

Uruguay ni nchi ya Amerika Kusini upande wa mashariki ya bara kando ya Atlantiki.

Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na Surinam.

Imepakana na Brazil na Argentina. Sehemu kubwa ya mipaka ya nje ni maji: mdomo mpana wa mto Rio de la Plata uko upande wa kusini-magharibi na Atlantiki upande wa kusini-mashariki.

Mji mkuu ni Montevideo wanapoishi zaidi ya nusu ya wakazi wote wa nchi (1,900,000 kati ya 3,325,000 hivi).

Watu[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wengi (90.7%) wana asili ya Ulaya, hasa Hispania na Italia. Wenye asili ya Afrika ni 4.8% na Waindio 2.4% tu.

Lugha rasmi na ya kawaida ni Kihispania.

Upande wa dini, nchi haina dini rasmi. Wakazi wengi (54.7%) ni Wakristo, hasa wa Kanisa Katoliki (45.7%).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Andrew, G. R. (2010) Blackness in the White Nation: A History of Afro-Uruguay, The University of North Carolina Press
  • Behnke, A. (2009) Uruguay in Pictures, Twenty First Century Books
  • Box, B. (2011) Footprint Focus: Uruguay, Footprint Travel Guides
  • Burford, T. (2010) Bradt Travel Guide: Uruguay, Bradt Travel Guides
  • Canel, E. (2010) Barrio Democracy in Latin America: Participatory Decentralization and Community Activism in Montevideo, The Pennsylvania State University Press
  • Clark, G. (2008) Custom Guide: Uruguay, Lonely Planet
  • Jawad, H. (2009) Four Weeks in Montevideo: The Story of World Cup 1930, Seventeen Media
  • Lessa, F. and Druliolle, V. (eds.) (2011) The Memory of State Terrorism in the Southern Cone: Argentina, Chile, and Uruguay, Palgrave Macmillan
  • Mool, M (2009) Budget Guide: Buenos Aires and Montevideo, Cybertours-X Verlag

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini

Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyana ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela

South America.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uruguay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.