Ufalme wa Muungano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ufalme wa Muungano wa Britania
na Eire ya Kaskazini

United Kingdom of Great Britain
and Northern Ireland
Flag of Ufalme wa Muungano Nembo ya Ufalme wa Muungano
Bendera Nembo
Wito la taifa: "Dieu et mon droit" (Kifaransa)
"Mungu na haki yangu"
Wimbo wa taifa:

"God Save the Queen"
Lokeshen ya Ufalme wa Muungano
Mji mkuu London
51°30′ N 0°7′ W
Mji mkubwa kushinda
 miji mingine yote
London
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali
• Waziri Mkuu wa Ufalme wa Muungano
Unitary, Katiba kifalme
David Cameron MP
'
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
243,610 km² (80th)
1.34%
Idadi ya watu
 - 2013 kadiriwa
 - 2011 census
 - Msongamano wa watu
 
64,100,000 (22nd)
63,181,775
255.6/km² (51st)
Fedha Pound Sterling (£) (GDP)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
Greenwich Mean Time (GMT) (UTC+0)
British Summer Time (BST) (UTC+1)
Intaneti TLD .uk
Kodi ya simu +44
Elderly lady with a yellow hat and grey hair is smiling in outdoor setting.
Elizabeth II, Malkia wa Ufalme wa Muungano na wa nchi mbalimbali za Commonwealth.

Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini (kwa Kiingereza: United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland); kifupi "Ufalme wa Muungano" Kiing.: United Kingdom) ni nchi ya visiwani ya Ulaya ya kaskazini-magharibi.

Mara nyingi huitwa kwa Kiswahili "Uingereza" tu ingawa nchi ya Uingereza ni moja tu kati ya sehemu za ufalme huo pamoja na Uskoti, Welisi na Eire ya Kaskazini.

Nchi iliongoza mapinduzi ya viwanda duniani, ilenea katika mabara yote kwa makoloni yake mengi ikabaki hadi leo kati ya nchi muhimu zaidi ulimwenguni.

Ni mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Mataifa, ambapo ana kiti cha kudumu na kura ya turufu katika Halmashauri ya Usalama, pia ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya.

Upande wa dini, kadiri ya sensa ya mwaka 2011, 59.5% za wakazi ni Wakristo (hasa wa Anglikana, halafu Wakatoliki, Wakalvini na wengineo), 4.4% ni Waislamu, 1.3% ni Mabanyani. 25.7% hawana dini yoyote.

Muungano na utawala[hariri | hariri chanzo]

Bendera Nchi Hali Wakazi Vitengo Mji mkuu
Flag of England.svg
Uingereza Ufalme 50,431,700

Mikoa
Wilaya

London
Flag of Scotland.svg
Uskoti Ufalme 5,094,800

Wilaya

Edinburgh
Flag of Wales 2.svg
Welisi Utemi 2,958,600

Wilaya

Cardiff
Hapana Eire ya Kaskazini Jimbo 1,724,400

Wilaya

Belfast

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]



Nchi za Umoja wa Ulaya Bendera ya Umoja wa Ulaya
Austria | Bulgaria | Denmark | Estonia | Hispania | Hungaria | Ireland | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituania | Luxemburg | Malta | Poland | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Ufalme wa Muungano | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ufalme wa Muungano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.