Mexiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Meksiko)
Rukia: urambazaji, tafuta
Estados Unidos Mexicanos
Maungano a Madola ya Mexiko
Bendera ya Mekiko Nembo ya Mekiko
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: (hakuna)
Wimbo wa taifa: Himno Nacional Mexicano
Lokeshen ya Mekiko
Mji mkuu Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico)
19°03′ N 99°22′ W
Mji mkubwa nchini Mji wa Mexiko (Kihisp.: Ciudad de Mexico)
Lugha rasmi (hakuna kitaifa)
Kihispania (hali halisi)
Serikali Shirikisho la Jamhuri
Enrique Peña Nieto
Uhuru
Imetangazwa
imetambuliwa

16 Septemba 1810
27 Septemba 1821
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
1,972,550 km² (ya 15)
2.5%
Idadi ya watu
 - 2013 kadirio
 - 2000 sensa
 - Msongamano wa watu
 
118,395,054 (ya 11)
101,879,171
57/km² (ya 142)
Fedha Peso (MXN)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-8 to -6)
varies (UTC)
Intaneti TLD .mx
Kodi ya simu +52

-Meksiko ni nchi kubwa (km2 1,972,550) inayohesabiwa kuwa sehemu ya Amerika ya Kaskazini au ya Amerika ya Kati.

Imepakana na Marekani upande wa kaskazini. Upande wa kusini majirani ni Guatemala na Belize.

Ina pwani ndefu na bahari za Pasifiki na Ghuba ya Meksiko.

Ina muundo wa shirikisho.

Mji mkuu ni Mexico City, ambao katika eneo lake lote una watu zaidi ya milioni 20.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Nchi jinsi ilivyo leo imeundwa na wakoloni Wahispania walioivamia kuanzia mwaka 1519 na kuvunja utawala wa milki za wenyeji kama Azteki na Maya.

Watu[hariri | hariri chanzo]

Wakazi ni 118,395,054: wengi wao ni machotara wenye damu ya Wahindi wekundu na Wazungu.

Hutumia lugha ya Kihispania ambayo ni lugha ya taifa, lakini wengine (5.4%) wanaendelea kutumia lugha asilia tangu kabla ya ukoloni kama vile Nahuatl, Yukatek Maya, Mixtek na Zapotek.

Upande wa dini walio wengi ni wafuasi wa Yesu Kristo katika Kanisa Katoliki (83%) au madhehebu mengine (10%).

Majimbo ya Mexiko[hariri | hariri chanzo]

 1. Aguascalientes
 2. Baja California
 3. Baja California Sur
 4. Campeche
 5. Chiapas
 6. Chihuahua
 7. Coahuila
 8. Colima
 9. Durango
 10. Guanajuato
 11. Guerrero
 12. Hidalgo
 13. Jalisco
 14. Mexico
 15. Michoacán
 16. Morelos
 17. Nayarit
 18. Nuevo León
 19. Oaxaca
 20. Puebla
 21. Querétaro
 22. Quintana Roo
 23. San Luis Potosí
 24. Sinaloa
 25. Sonora
 26. Tabasco
 27. Tamaulipas
 28. Tlaxcala
 29. Veracruz
 30. Yucatán
 31. Zacatecas
Ramani ya Mexiko

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Camp, Roderic A. Politics in Mexico: Democratic Consolidation Or Decline? (Oxford University Press, 2014)
 • Davis, Diane. Urban leviathan: Mexico City in the twentieth century (Temple University Press, 2010)
 • Domínguez, Jorge I (2004). "The Scholarly Study of Mexican Politics". Mexican Studies / Estudios Mexicanos 20 (2): 377–410.
 • Edmonds-Poli, Emily, and David Shirk. Contemporary Mexican Politics (Rowman and Littlefield 2009)
 • Kirkwood, Burton. The History of Mexico (Greenwood, 2000) online edition
 • Krauze, Enrique (1998). Mexico: Biography of Power: A history of Modern Mexico 1810–1996. New York: Harper Perennial, 896. ISBN 0-06-092917-0. 
 • (2000) The Oxford History of Mexico. Oxford University Press, 736. ISBN 0-19-511228-8. 
 • Levy, Santiago. Good intentions, bad outcomes: Social policy, informality, and economic growth in Mexico (Brookings Institution Press, 2010)
 • Meyer, Michael C., William L. Sherman, and Susan M. Deeds. The Course of Mexican History (7th ed. Oxford U.P., 2002) online edition
 • Russell, Philip (2010). The history of Mexico: from pre-conquest to present. Routledge. ISBN 978-0-415-87237-9. Retrieved on July 9, 2010. 
 • Tannenbaum, Frank. Mexico: the struggle for peace and bread (2013)
 • Werner, Michael S. ed. Encyclopedia of Mexico: History, Society & Culture (2 vol 1997) 1440pp online edition
  • Werner, Michael S. ed. Concise Encyclopedia of Mexico (2001) 850pp; a selection of unrevised articles

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mexiko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.