31 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1879 - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 1908 - William Saroyan (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa)
- 1985 - Eddie Anaclet, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 651 - Aidan Mtakatifu
- 1762 - Momozono, Mfalme Mkuu wa 116 wa Japani (tangu 1747)
- 1985 - Frank Burnet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 2002 - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967