Guinea Mpya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guinea Mpya bi kisiwa kikubwa katika Pasifiki upande wa kaskazini ya Australia. Ni kisiwa kikubwa cha pili duniani baada ya Greenland.
Eneo la kisiwa limegawiwa kati ya mataifa mawili:
- upande wa magharibi ni mikoa ya Indonesia ya Papua na Irian Jaya Magharibi.
- upande wa mashariki ni nchi huru ya Papua Guinea Mpya
Jiografia[hariri | hariri chanzo]
Eneo lote la kisiwa ni 829,200 km² na jumla ya wakazi ni milioni 5.2 (2004).
Kuna milima mikubwa; upande wa Indonesia ni milima ya Maoke (Puncak Jaya 4,884 m juu ya UB) na upande wa Papua Guinea Mpya ni milima ya Bismarck (Mount Wilhelm 4,509 m juu ya UB). Mto mrefu kisiwa ni Fly.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guinea Mpya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |