3 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1795 - Antonio José de Sucre, Rais wa Peru (1823) na Rais wa Bolivia (1825-28)
- 1907 - James Michener (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1948)
- 1951 - Blaise Compaoré, Rais wa Burkina Faso
- 1990 - Sean Kingston, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 865 - Ansgar Mtakatifu, Askofu wa Hamburg
- 1924 - Woodrow Wilson (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1919)