27 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1728 - James Cook, mpelelezi kutoka Uingereza
- 1844 - Klas Pontus Arnoldson (mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 1858 - Theodore Roosevelt (Rais wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1906)
- 1917 - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 1943 - George Cain, mwandishi wa Marekani
- 1978 - Mrisho Mpoto, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1980 - John Van Vleck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)