17 Desemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1907 - Nchi ya Bhutan imekuwa umonaki kupitia kwa uchaguzi wa Ugyen Wangchuk kama mfalme wa kwanza.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1908 - Willard Libby (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960)
- 1942 - Muhammadu Buhari, Rais wa Nigeria (1983-1985)
- 1988 - David Rudisha, mwanariadha wa Kenya
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1187 - Papa Gregori VIII
- 1830 - Simon Bolivar, mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania, katika mji wa Santa Marta (Kolombia)
- 1964 - Victor Hess (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936)
- 1987 - Marguerite Yourcenar, mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji