2 Novemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1389 - Uchaguzi wa Papa Boniface IX
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1795 - James Polk, Rais wa Marekani (1845-1849)
- 1865 - Warren G. Harding, Rais wa Marekani (1921-23)
- 1911 - Odysseas Elytis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1979)
- 1929 - Richard Taylor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990)
- 1932 - Melvin Schwartz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988)
- 1978 - Noah Ngeny, mwanariadha kutoka nchini Kenya
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1950 - George Bernard Shaw (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1925)
- 1966 - Peter Debye (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1936)