4 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 186 - Caracalla, Kaisari wa Dola la Roma
- 1896 - Robert Sherwood (mwandishi Mmarekani)
- 1908 - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda
- 1939 - Hugh Masekela, mwanamuziki wa Jazz kutoka Afrika Kusini
- 1960 - Hugo Weaving, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 1976 - Saida Karoli, mwimbaji kutoka Tanzania
- 1984 - Kristen Hager, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 1987 - Macdonald Mariga, mchezaji mpira kutoka Kenya
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 896 - Papa Formosus
- 1292 - Papa Nikolasi IV
- 1589 - Mtakatifu Benedikto Mwafrika, mtawa Mwafrika wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1841 - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)
- 1929 - Karl Friedrich Benz (mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa)
- 1932 - Wilhelm Ostwald (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1909)
- 1968 - Martin Luther King, Jr., mchungaji na mwanaharakati kutoka Marekani, aliuawa kwa kupigwa risasi na adui wa imani yake.