Kibulgaria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kibulgaria (kwa Kibulgaria: български език, bălgarski ezik [ˈbɤ̞lgɐrski ɛˈzik]) ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Bulgaria. Kibulgaria ni moja katika Muungano wa Lugha za Balkan, ambayo inajumlisha Kigiriki, Kimasedonia, Kiromania, Kialbania na Kitorlakia ambacho kina lafudhi ya lugha ya Kiserbia. Kibulgaria kinafanana kabisa na Kimsedonia na Kiserbia, ambavyo vyote vina asili moja ya Slavoni - Kibulgaria.

А а
[a]
Б б
[b]
В в
[v]
Г г
[g]
Д д
[d]
Е е
[ɛ]
Ж ж
[ʒ]
З з
[z]
И и
[i]
Й й
[j]
К к
[k]
Л л
[l]
М м
[m]
Н н
[n]
О о
[ɔ]
П п
[p]
Р р
[r]
С с
[s]
Т т
[t]
У у
[u]
Ф ф
[f]
Х х
[x]
Ц ц
[ʦ]
Ч ч
[ʧ]
Ш ш
[ʃ]
Щ щ
[ʃt]
Ъ ъ
[ɤ̞], [ə]
Ь ь
[◌ʲ]
Ю ю
[ju]
Я я
[ja]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Jifunzi Kibulgaria[hariri | hariri chanzo]

Taarifa za Kiisimu[hariri | hariri chanzo]

Kamusi[hariri | hariri chanzo]

Zinginezo