12 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1276 - Uchaguzi wa Papa Adrian V
- 1691 - Uchaguzi wa Papa Innocent XII
- 1730 - Uchaguzi wa Papa Klementi XII
- 1975 - Visiwa vya Sao Tome na Principe vinapata uhuru kutoka Ureno.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1803 - Mtakatifu Peter Chanel, padre Mkatoliki na mfiadini kutoka Ufaransa
- 1904 - Pablo Neruda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1971)
- 1912 - Kardinali Laurean Rugambwa wa Dar es Salaam
- 1913 - Willis Lamb (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955)
- 1928 - Elias Corey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1990)
- 1956 - Wilson Mutagaywa Masilingi, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1931 - Nathan Söderblom (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1930)