23 Septemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori


Tarehe 23 Septemba ni siku ya 266 ya mwaka (ya 267 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 99. Kwa kawaida ama ni sikusare otomnia ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya sikusare hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume: kuanzia sasa mchana hurefuka na giza la usiku kupungua. Mabadiliko hayo yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu Zakaria na Elisabeti, wazazi wa Yohane Mbatizaji, ya mtakatifu Papa Linus, mfiadini, na ya mtakatifu Pio wa Pietrelcina, padri

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 23 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.