IPS Inter Press Service - Independent News
   Inter Press Service News Agency
Thursday, February 09, 2012   07:17 GMT    
   Homepage
   World Service
   East Africa
   Southern Africa
   West Africa
   Central Africa
 
   Environment
   Health-HIV/AIDS
   Education
   Rights
   Politics
   Economics
   and Finance
   Development
   Energy
   Population
   Culture
 
   Radio Service
 
   Français
 
   About IPS
 
   ENGLISH
   ESPAÑOL
   FRANÇAIS
   ARABIC
   ČESKY
   DEUTSCH
   ITALIANO
   JAPANESE
   MAGYAR
   NEDERLANDS
   POLSKI
   PORTUGUÊS
   SUOMI
   SVENSKA
   SWAHILI
   TÜRKÇE
Readers Opinions
SIERRA LEONE
Kuwatenga Wagonjwa wa Kifafa
Abdul Samba Brima na Jessica McDiarmid
FREETOWN, Feb 7, 2012 (IPS) - Alipoanguka kwa mara ya kwanza, Elizabeth Zainab Kargbo alikuwa mwanamke mwenye mafanikio katika umri wake wa ujana, mwenye mimba ya miezi nane na aliyefanya kazi katika sekta ya utumishi wa umma nchini Sierra Leone.

TANZANIA
Kuhamasisha Kilimo cha Embe Kupunguza Madhara ya Mabadiliko ya Tabia Nchi
Marko Gideon
DAR ES SALAAM, Feb 6, 2012 (IPS) - Mabadiliko ya tabia nchi yapo kila mahali, ni dhahiri na madhara yake yanajidhihirisha kwa uwazi zaidi kuliko siku za nyuma. Yanaathiri watu kutoka kila sekta na nyanja zote za maisha. Watu wanaoathirika zaidi ni wale wanaoishi katika nchi zinazoendelea hususan katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako zaidi ya asilimia 80 ya wakazi wake wanategemea kilimo cha mvua.


Kuhamasisha Kilimo cha Embe Kupunguza Madhara ya Mabadiliko ya Tabia Nchi
Marko Gideon
DAR ES SALAAM, Jan 26, 2012 (IPS) - Mabadiliko ya tabia nchi yapo kila mahali, ni dhahiri na madhara yake yanajidhihirisha kwa uwazi zaidi kuliko siku za nyuma. Yanaathiri watu kutoka kila sekta na nyanja zote za maisha. Watu wanaoathirika zaidi ni wale wanaoishi katika nchi zinazoendelea hususan katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako zaidi ya asilimia 80 ya wakazi wake wanategemea kilimo cha mvua.

SUDAN KUSINI
Wanawake Walenga Kulinda Haki Zao Katika Taifa Changa
Na Amanda Wilson
WASHINGTON, Jan 26, 2012 (IPS) - Wakati Sudan Kusini ikiandaa mustakabali wake wa kiuchumi wa baadaye katika Mkutano wa Kimataifa wa Sudan Kusini (IEC) wiki hii mjini Washington, wanawake kutoka taifa hilo jipya wametoa wito kwa wafadhili kuwekeza katika miradi ambayo inahakikisha kuwa wanawake wanafaidika sawa na mipango ya maendeleo.


‘Fanyieni Kazi Mazungumzo ya Busan’
Uchambuzi na Miriam Gathigah
BUSAN, Korea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) - Watetezi wa haki za wanawake hawajajiandaa kusubiri kutulia kwa vumbi la Jukwaa la Nne la Ufanisi wa Misaada lililomalizika katika mji wa bandari wa Korea Kusini Des. 1 huku wakitaka kuwepo kwa usawa wa kijinsia na uwezeshwaji.


Clinton Ahimiza Ajenda ya Jinsia Huko Busan
Na Miriam Gathigah
BUSAN, Korea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) - Wanawake wanavuja jasho mashambani katika maisha yao yote wakizalisha chakula na kuimarisha uchumi ambao unategemea zaidi kilimo katika bara la Afrika, lakini wakati baba zao, waume au watoto wao wakubwa wa kiume wanapofariki, hawakaribishwi tena katika ardhi ambayo wamekuwa wakilima kwa miaka mingi.


‘Hakuna Lolote Kutoka Busan kwa Wanawake na Watoto wa Afrika’
Na Miriam Gathigah
BUSAN, Korea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) - Pamoja na kuwepo kwa mafanikio katika kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga, mamilioni ya wanawake na watoto barani Afrika wanahitaji huduma bora za afya, chakula na huduma za usafi wa mazingira.


‘Hakuna Lolote Kutoka Busan kwa Wanawake na Watoto wa Afrika’
Na Miriam Gathigah
BUSAN, Korea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) - Pamoja na kuwepo kwa mafanikio katika kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga, mamilioni ya wanawake na watoto barani Afrika wanahitaji huduma bora za afya, chakula na huduma za usafi wa mazingira.


Hakuna Anayehesabu Msaada wa Wanawake
Na Miriam Gathigah
BUSAN, Korea Kusini, Jan 26, 2012 (IPS) - Bajeti inayozingatia jinsia inakuwa muhimu wakati inapoonekana kuwa haijatolewa lakini inafanya kazi nzuri ya kutoa huduma kwa jamii, wanasema wajumbe wa mkutano wa kimataifa juu ya ufanisi wa misaada katika mji huo wa Korea Kusini.

LIBERIA
KUCHAGULIWA TENA KWA SIRLEAF NI USHINDI WA WANAWAKE
Na Stephen Binda
MONROVIA, Jan 26, 2012 (IPS) - Ushindi wa Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf kwa awamu ya pili unaelezewa kama ushindi wa wanawake pamoja na utata uliosababisha upinzani kugoma kushiriki katika marudio ya uchaguzi.

 

 

Next >>

 








 Latest News from Africa
News in RSS
Sierra Leone Drafts a Development Plan for the Next 50 Years
ZIMBABAWE: Not Prepared for Floods Amid Conflicting Weather Forecasts
Swaziland's Cooperatives No Threat to Banks
"Raining Bombs" Causing Hundreds to Flee Northern Nigeria
Cameroon's Economy Suffers as Boko Haram Infiltrates Country
Social Media Shows Support for Africa's Oldest Community Station
Senegalese Students Call for President to Step Down
New Libya Off to a Shaky Start
Chinese Feed Illegal Ivory Trade
DEVELOPMENT-NIGER: Three Million Children Threatened by Hunger
More >>
  Dernières Nouvelles
News in RSS
SENEGAL: Les étudiants demandent au président de se retirer
ECONOMIE-RD CONGO: Controverse autour d’une nouvelle taxe
ZAMBIE: Un scandale sexuel impliquant des Chinois avec des mineures suscite un débat passionné
SANTE-AFRIQUE DU SUD: Les décès liés au VIH ralentissent l’économie
ZIMBABWE: La question est de savoir s’il faut adopter le yuan ou pas
A lire également >>