Kama unatambua Gates Mgenge wa Pwani FM, ni msee mmoja hapendi za ovyo. Naye Odinareh Bingwa mc more fayaa toka Coast majuzi alidrop song nganya inajiita nusu saa na rais.
Kama kawaida lazima ilikuwa ipitie Pwani FM na Gates Mgenge host wa show ya Mashavmashav University alidaisha hilo kwanja ni kanjanja.
On air alimchora Ordinareh kinyama akidai msela kachemsha laana. Hii issue ilimuudhi mchizi hadi akaanza paka hio show javi kwa facebook. Usitake ona vile walirushiana mdomo online.