Habari Maalumu
TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na ongezeko la asilimi 20 la Misahafu iliyochapishwa nchini Iran katika mwaka huu wa Kiirani wa Hijria Shamsia ulioanza Machi 21.
23 Jun 2021, 17:44
TEHRAN (IQNA)- Wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) wamefanya maandamano nchini humo wakitaka kuachiwa huru...
23 Jun 2021, 17:32
TEHRAN (IQNA)- Kuna msikiti mkongwe nchini Uturuki ambao hauna paa na hivyo mbali na kuwa ni eneo la ibada sasa pia ni kivutio cha utalii.
23 Jun 2021, 18:37
TEHRAN (IQNA)- Sherehe ya kukumbuka kuzaliwa Imam Ridha AS imefanyika nchini Kenya katika Kituo cha Kiislamu cha Jaafari mjini Nairobi kwa himaya ya Kituo...
22 Jun 2021, 15:55
TEHRAN (IQNA) – Waislamu wa Kenya wamebainisha malalamiko yao baada ya kubainika kuwa hawataweza kutekeleza Ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudi Arabia...
22 Jun 2021, 14:02
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi mwandamizi wa Kiislamu nchini Iraq Sayyid Muqtada al Sadr ametoa wito kwa Iran na Saudi Arabia kutatua hitilafu zao kupitia mazungumzo.
22 Jun 2021, 14:14
TEHRAN (IQNA)- Tuko katika kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ridha AS, mmoja kati ya Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad SAW.
21 Jun 2021, 20:32
TEHRAN (IQNA)- Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na waandishi habari kuhusu sera za kitaifa na za kimataifa za serikali yake
21 Jun 2021, 18:40
Vijana wa Sudan wameanzisha Jumuiya ya Kuunga Mkono Msikiti wa Al Aqsa na Kupinga Uanzishwaji Uhusiano wa Kawaida na Utawala wa Kizayuni wa Israel.
21 Jun 2021, 20:10
TEHRAN (IQNA)- Sherehe inayojulikana kama Naqqareh Zani imefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha AS, katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa...
21 Jun 2021, 18:11
TEHRAN (IQNA) - Viongozi mbali mbali duniani wanaendelea kumtumia salamu za pongezi Sayyid Ebrahim Raeisi kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa rais...
20 Jun 2021, 18:11
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah amempongeza Sayyid Ebrahim Raeisi kufuatia ushindi wake katika uchaguzi...
20 Jun 2021, 18:02
TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa haki za binadamu wameonya kuwa, utawala wa Aal-Saud unapanga kuwanyonga makumi ya vijana Waislamu wa madhehebu ya Shia mkoani...
20 Jun 2021, 18:21
Kiongozi Muadhamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza hatua ya kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi mkuu wa jana Ijumaa...
19 Jun 2021, 19:01
TEHRAN (IQNA)- Baada ya kumalizika zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa 13 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran imetangaza...
19 Jun 2021, 19:09
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kumepelekea taifa la Iran lipate ushindi katika...
19 Jun 2021, 18:55